| Yapata dakika ya 16, mchezo ulisimama kwa mda baada ya mchezaji wa timu Bunge kupata majeruhi na hatimae kurejea uwanjani baada ya kutibiwa |
| Umati wa mashabiki uliojitokeza kushuhudia Bunge Bonanza |
| Katikati ni mshindi wa mchezo wa kukimbiza kuku akipongezwa na baadhi ya mashabiki zake |
| Mh Spika wa AUSRC Pallangyo, Victor M katika picha ya pamoja na mshindi katika mchezo wa kukimbiza kuku upande wa wanaume. |
| Mshindi katika mchezo wa kukimbiza kuku upande wa wanawake akishangilia baada ya kuibuka mshindi katika kinyanganyilo hicho |
| washiliki wa mchezo katika picha ya pamoja na mshindi |
![]() |
| Mshindi wa kwanza na wa pili kwa upande wa mpira wa miguu baada ya kukabidhiwa zawadi mbali mbali na wadhamini wa Bonanza CRDB Bank |



Bunge bonanza ilifana hongera viongozi wa bunge kwa kuandaa mashindano ..yawe endelevu.
ReplyDelete