LMV I |
LMV III |
SEST I |
Leo katika mashindano ya mpira wa Miguu timu ya LMV III imecheza na timu ya LMV I ambapo timu hizo zimeweza kutoka suluhu ya mabao mawili. Wakati huo timu ya mpira wa miguu SEST II imekutana na timu ya SESTI na kuichalaza mabao matano kwa manne hivyo kuibuka na ushindi.
Mechi hizi za kirafiki zimefanyika katika Uwanja wa mpira wa miguu chuo kikuu Ardhi.
Endelea kutembelea ARUSO BLOG kupata Taarifa mbalimbali
Endelea kutembelea ARUSO BLOG kupata Taarifa mbalimbali
0 comments:
Post a Comment