TANGAZO
ZOEZI LA KUCHUKUA FORM ZA KUSHIRIKI SHINDANO LA MISS ARU LINAANZA LEO JUMATATU YA TAREHE 24/4/2017 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI KWA YEYOTE MWENYE NIA ANAOMBWA KUFIKA KUCHUKUA FORM AMBAZO ZINATOLEWA BURE KABISA kwa wanafunzi wote wa  chuo kikuu ardhi
MAENEO ZINAPOPATKANA
1. OFISI YA ARUSO
2. CONTENA STATIONARY
3. MASAI MPESA (BABA FRANK CAFTERIA)
4. MERRAH SHOP ( SAVEI)
5. ONLINE INSTAGRAM (aru_celebrities)
Kwa maelezo zaidi piga
0674015291,  0782704980, 0717310727

0 comments:

Post a Comment

 
Top