KUAPISHWA KWA VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO KIKUU ARDHI
Viongozi wa Chuo Kikuu Ardhi wakiongozwa na DVC Prof. Idirisa Mshoro kushoto kwake akiwa na Prof. Liwa DVCPFA na Madam Amina. akiwepo pia Prof. Kasenga DVCAA wakishiriki katika kuapishwa kwa serikali ya wanafunzi 2017/2018 katika ukumbi wa bunge chuo kikuu Ardhi 05, May 2017.
0 comments:
Post a Comment