Timu ya skuli ya Sayansi ya mazingira na teknolojia (SEST) chuo kikuu Ardhi, Imetoka sare kwa kufungana goli 3-3 dhidi ya timu ya International Medical and Technological University (IMTU) Katika mchezo wa mpira wa miguu uliofanyika katika viwanja vya chuo kikuu IMTU.. Mapema jana jioni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment