Yapata dakika ya 16, mchezo ulisimama kwa mda baada ya mchezaji wa timu Bunge kupata majeruhi na hatimae kurejea uwanjani baada ya kutibiwa |
Umati wa mashabiki uliojitokeza kushuhudia Bunge Bonanza |
Katikati ni mshindi wa mchezo wa kukimbiza kuku akipongezwa na baadhi ya mashabiki zake |
Mh Spika wa AUSRC Pallangyo, Victor M katika picha ya pamoja na mshindi katika mchezo wa kukimbiza kuku upande wa wanaume. |
Mshindi katika mchezo wa kukimbiza kuku upande wa wanawake akishangilia baada ya kuibuka mshindi katika kinyanganyilo hicho |
washiliki wa mchezo katika picha ya pamoja na mshindi |
Mshindi wa kwanza na wa pili kwa upande wa mpira wa miguu baada ya kukabidhiwa zawadi mbali mbali na wadhamini wa Bonanza CRDB Bank |
Bunge bonanza ilifana hongera viongozi wa bunge kwa kuandaa mashindano ..yawe endelevu.
ReplyDelete