Ofisi ya mshauri wa wanafunzi inakutaarifu wewe kiongozi kuwa siku ya Alhamisi ya tarehe 21/12/2017 saa sita na nusu adi saa saba na nusu mchana itakutana na viongozi wafuatao pale Bungeni (IHSS hall R-29)
  1. SCHOOL REPRESENTATIVES
  2. MEMBERS OF PARLIAMENT
  3. DEPARTMENTAL COORDINATORS
  4. CLASS REPRESENTATIVES    
Ofisi ya mshauri wa wanafunzi inasisitiza sana kuhudhuria bila kukosa wewe uliye tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na matatizo mengi yanayo wakumba wanafunzi wenzetu ja ushauri utatolewa na baadhi ya viongozi kutosaidia wanafunzi na badala yake kuwasababishia matatizo hadi kuachishwa masomo. Hima ufike kiongozi kwani ofisi ya mshauri wa wanafunzi imeandaa maelekezo mhimu kwako. Upatapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako...


SAMBAMBA NA HAYO, OFISI YA SPIKA IMEITISHA KIKAO CHA BUNGE KITAKACHO FANYIKA SIKU YA JUMATANO TAREHE 20/12/2017 KUANZIA SAA 8 MCHANA HADI SAA 12 JIONI KATIKA UKUMBI WA BUNGE ( IHSS  R-29)

0 comments:

Post a Comment

 
Top