Kumekucha mwana ARU na makucha yake, Hatumwi mtoto dukani.. Ofisi ya BUNGE inapenda kuwatangazia wana ARU wote kuwa, kutakuwa na BONANZA litakalo husisha viongozi wote wa ARUSO, wananchi wote,na wafanyakazi wote.. Michezo itakayokuepo ni Mpira wa miguu kwa wanaume,Netball kwa wanawake,kukimbiza kuku,kula apple kwa wasichana, riadha kwa wanaume na wanawake, kuvuta kamba,kula ndizi mbivu,na kukimbia kwenye gunia...Mda wa mashindano itakua Ijumaa tar 15/12/2017 kuanzia saa tisa alasiri washindi watazawadiwa zawadi mbali mbali kama vile Mbuzi,kuku,pesa taslimu,soda n.k... Michezo ni Afya, hujenga undugu.. Karibuni nyote mshuhudie vipaji vilivyo jificha ndani ya viongozi wetu na wananchi wao... Sambamba na hilo wadhamini wetu CRDB watakuepo wakitoa huduma zao kama vile Sim banking,internet banking,kufungua account mpya na huduma zingine nyingi...Nyote mnakalibishwa.. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment