Serikali ya wanafunzi ARUSO kupitia Wizara ya Fedha na Uwekezaji na Wizara ya Habari imeongeza mda wa kuendesha zoezi la upigaji picha kwa ajili ya usahili wa wanachuo na matumizi mengine kuanzia saa12:00 hadi 13:00 mchana kila siku ofisini ARUSO.
Vilevile serikali ya wanafunzi ARUSO imetoa maelekezo juu ya utaratibu wa ubandikaji wa matangazo binafsi katika maeneo ya chuo na mbao zake za matangazo.
Home
»
Finance
»
ICT
» Zoezi la kupiga picha za passport size kwa ajili ya usahili na matumizi mengine binafsi linaendelea ofisini ARUSO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment