Wanafunzi waliojitokeza kushiliki wakiwa safarini. |
Mhe, Buzuka Esther Akisalimiana na mkurugenzi wa kituo cha Permanent Glory Home |
Mhe Amandus Adelah Akisalimiana na mkurugenzi wa kituo mda mchache mara baada ya kuwasili |
Watoto na wote waliopata kushiliki tukio la kihistori wakipata chakula |
Mhe Waziri Mkuu ARUSO, Njau, Goodluck |
Baada ya Chakula walipata nafasi ya kuzungumza,kucheza na kufurai kwa pamoja na watoto waliokuepo kituoni hapo |
Mhe Amandus Adelah mwenyekiti wa kamati ya Charity akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkalibisha Mhe Makamu wa Raisi Mhe Maxmilian James |
Mhe Makamu wa Raisi akitoa shukrani kwa kwa wote walioshiliki tukio hili na hatimaye kumkalibisha mhe Raisi kwa ajili ya shughuli kukabidhi zawadi zilizo andaliwa na wana ARUSO |
Mhe Raisi Temba Gaspar E akizungumza kwa uchache kabla ya kuanza kukubidhi kile kilicho andaliwa na wana ARUSO kwa mkurugenzi wa kituo cha (PGH) |
Baada ya kukabidhiwa kile kilicho kuwa kimeandaliwa na wana ARUSO, Mkurugenzi wa kituo cha Permanent Glory Home alizungumza kutoa shukulani zake za dhati, Nakueleza historia fupi ya kituo hicho. |
Wanakamati ya Charity wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa kituo |
Baadhi ya wanafuzi wakiwa katika picha ya pamoja. |
0 comments:
Post a Comment