Mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu kati ya timu ya Serikali ya wanafunzi ya Chuo kikuu Ardhi dhidi ya timu ya Serikali ya wanafunzi ya Chuo kikuu cha Dar es salaam.
|
Mh. Adela akipasha kabla ya mechi. |
|
Timu zote mbili zikikubaliana sharia na muundo wa mchezo kabla mechi haijaanza. |
|
Kutoka kushoto ni Mheshimiwa Waziri Mkuu wa UDSM, Mheshimiwa Rais wa ARDHI Temba Gasper E. na Mheshimiwa Spika wa bunge la UDSM. |
|
Timu ya ARUSO ikipasha kabla ya mechi kuanza. |
|
Timu ya DARUSO ikisalimiana na timu ya ARUSO. |
|
Mh. Rifat kutoka timu ya ARUSO akifanya clearance kwenye eneo lake. |
|
Mh. Shimwela akiomba mabadiliko ya mchezaji. |
|
Mh. Shimwela akikimbiza kutokea winga ya kulia. |
|
Moja kati ya harakati za kutafuta kuchezesha nyavu ziizokua zikilindwa na kipa wa DARUSO. |
|
Timu zote mbili zikikaa pamoja na kufahamiana pia kupongezana kwa mchezo mzuri na wa furaha baada ya mechi kuisha. |
Mechi hii iliisha kwa suluhu ya mabao matatu (3-3)
0 comments:
Post a Comment